AUDIO | Stamina Ft Linah Sanga – Niambie Mp3 (Audio Download)
Nilivumia vyote, vita na visirani
Kukupa upendo wote ukanipa mitiani
Kama umenichika, niambie, niambie
Mapenzi yamekuchosha, niambie, niambie
Kama umenichika, niambie, niambie
Mapenzi yamekuchosha, niambie, niambie
No comments