Happy Birthday Diamond Platnumz Leo October 2
LEO ni siku ya kuzaliwa kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, na blog ya Njiro media tunamtakia kila la heri mwanamuziki huyo.
Katika tukio hili tunamwambia kwamba: Tunautambua mchango wako mkubwa kwa Tanzania, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi na afya njema kwa Mwenyezi Mungui.
Happy Birthday Diamond Platnumz!

No comments