Nani Lyrics by Ibraah -
Nani atakaye nitunzia moyo wangu
Mapenzi yana maumivu sana
Nauliza nani atakayenitunzia siri zangu
Mapenzi yana maumivu sana
I ask who? Ni nani nani nani
Mapenzi yana maumivu sana
Nauliza nani atakayenitunzia siri zangu
Mapenzi yana maumivu sana
I ask who? Ni nani nani nani
I ask who? Ni nani nani nani
Nimechoka kuumizwa moyo
Nani nani nauliza nani
No comments