TANZIA: MEJA KUNTA AFARIKI DUNIA
Msanii wa Muziki wa miondoko ya singeli, Meja Kunta amefariki Dunia leo baada yakupata ajali alfajiri ya jana wakati akielekea katika tamasha la muziki mnene jijini Tanga...
Taarifa za awali zinadai Meja Kunta alikuwa njiani akitokea Tanga kuja Dar es Salaam, kwa ajili ya matibabu zaidi...
Hata hivyo taarifa hizo zinadai, Meja alikuwa analalamika maumzivu ya MBAVU,Tayari ukurasa rasmi wa Menejimenti yake akiwemo G Meker amethibitisha hilo
Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema Peponi-AMIN

No comments