Moni Centrozone-La Moto Lyrics (Mashairi)
Na jicho lako la kungu nitazame mimi Ningekuwa Maxi ningekuwa Air themanini Umenifanya mi famili Mbeya ndani ya fungwa boxer Mwambie shangazi naleta kosa Penzi lako la moto eeh La moto eeh Penzi lako la moto eeh La moto eeh Wapenzi wawili tukiwa chumbani Wote wakinitenga nimpende nani? Naskia mjomba wako kakutafuta kukuweka ndani Licha ya kufuga mbwa, kanunua na gun Sa nacheza kabati, mbwa wanaopiga -- Beiby piga kabati, ikibidi twende town trip Utazunguka mpaka upate, wanaume tuko wachache Wa kukupa kodi ya meza, na kununua mkate Aah..nimba la kati nakaza, kangoma kati Tangu sichana la wana, makwenu kwani? Tukichoka msosi, mi faraghani Kisha mamba visosi na ako orodhani Oyaa, madem wa mjini hawako loyal Oyaa, wakihongwa sio wachoyo Oyaa, ma brother men hawako loyal Wamemfanya Vanessa akaua moyo Na jicho lako la kungu nitazame mimi Ningekuwa Maxi ningekuwa Air themanini Umenifanya mi famili Mbeya ndani ya fungwa boxer Mwambie shangazi naleta kosa Penzi lako la moto eeh La moto eeh Penzi lako la moto eeh La moto eeh Usiulize kuhusu chanda She got it from my mama Usiulize kuhusu anga Texas sio Alabama Wakihisi kuwa ni danga, ushalitupa toka zama Wakipima kwenye bamba, mabegi kama unahama Achana na mawaster, watakutesa wako real Ja-Japo mimi gangster, sina presha nikufeel Ukiona nazebenza, ujue nasaka meal Kuliko kosa pesa, bora nisake deal Penzi safari, usiende stendi, nipe moyo wako mpenzi Usionyeshe umenikariri kwenye ushenzi Ficha cheshi weka pending, kwenye kisaka chenji I can, I will, I must ka Doctor Mengi Oyaa, madem wa mjini hawako loyal Oyaa, wakihongwa sio wachoyo Oyaa, ma brother men hawako loyal Wamemfanya Vanessa akaua moyo Na jicho lako la kungu nitazame mimi Ningekuwa Maxi ningekuwa Air themanini Umenifanya mi famili Mbeya ndani ya fungwa boxer Mwambie shangazi naleta kosa Penzi lako la moto eeh La moto eeh Penzi lako la moto eeh La moto eeh

No comments