Linex-Ngongongo Lyrics (Mashairi)
Tatizo langu mimi nawe Haunaga msimamo Safari ya kulia unaenda kushoto Mtu wa tamaa ya pesa na vito Last time I met you Nikaona no one like you(No one like you) Unadata unapagawa na ma Bongo Flava Pombe ukilewa unagawa fleva
Ukajisahau You used to be my best friend Bora niende zangu Nawaachia wenzangu Sina haraka ya kutafuta mwingine Wakukulinganisha naye Sitakufa nikiachana nawe Sikuzaliwa na wewe Saa nyingine Namiss utani, ucheshi wako Nyuma ya spika Ile midundo yako Bora nikuwache, Upite kama upepo Au kama... Walimopita wenzako Nikiwaza jinsi nilivyokupenda(Ukaenda) Hukujali maumivu makali utakayonipa(Ukaenda) Nasema go, sitaki tena ngongongongo Mlangoni kwangu ngongongongo ngongongongo(Ukaenda) Nikiwaza jinsi nilivyokupenda(Ukaenda) Hukujali maumivu makali utakayonipa(Ukaenda) Nasema go, sitaki tena ngongongongo Mlangoni kwangu ngongongongo ngongongongo Nishazoea, kulala na mpenzi kuamka mdomo wazi Amenitisha tisha, mimi hainibabaishi eeh Wanakufa, huwa tunazika tunasahau We ni nani uiendeshe akili yangu? Hakuna Ulichosahau kwangu So miezi sipunguzi Mi kwako sio kitu
Sina haraka ya kutafuta mwingine Wakukulinganisha naye Sitakufa nikiachana nawe Sikuzaliwa na wewe Sina kinyongo sikudai figo Baby you better Sitafungua milango Ukibisha hodi Ngongongo, ngongongo Ngongongongo ooh ooh ooh.. Bora nikuwache Upite kama upepo Au kama... Walimopita wenzako Nikiwaza jinsi nilivyokupenda(Ukaenda) Hukujali maumivu makali utakayonipa(Ukaenda) Nasema go, sitaki tena ngongongongo Mlangoni kwangu ngongongongo ngongongongo(Ukaenda) Nikiwaza jinsi nilivyokupenda(Ukaenda) Hukujali maumivu makali utakayonipa(Ukaenda) Nasema go, sitaki tena ngongongongo Mlangoni kwangu ngongongongo ngongongongo
No comments