JE KARANGA UONGEZA NGUVU ZA KIUME!!

Share:
JE KARANGA UONGEZA NGUVU ZA KIUME!!


JE KARANGA UONGEZA NGUVU ZA KIUME!! 
Imekuwa kawaida kusikia tangawizi, muhogo, korosho na vyakula vingi vikitajwa kuwa msaada kwa mwanaume karanga zikihusishwa pia.
Kuna ukweli katika hili ? Hebu tuchimbe zaidi.
Hata mimi katika makala nyingi nazokuwekea kila siku huwa nakupa orodha ya vyakula bora kwa mwanaume hata karanga huwa zipo kwenye list hiyo.
Karanga ni chanzo kikubwa cha kujenga protini mwilini. Karanga huwa na kiwango kikubwa cha amino asidi ambayo husaidia kuweka vizuri mfumo wa damu, hivyo kusababisha kuongezeka kwa kiwango cha ufanyaji mapenzi.
Siagi ya karanga ina kiasi kingi cha mafuta masafi yasiyoweza kusababisha kolestro/lehemu mwilini (unsaturated fats) na kiasi kingi cha protini, vitu hivi viwili vinafanya kazi ya kuongeza nguvu mwilini.
Siagi ya karanga ina kalori nyingi zitakazokuwezesha ubaki ni mwenye nguvu kutwa nzima.
Kwa kuwa ni chanzo kizuri cha madini ya chuma, shaba, magnesium, na potasiamu, siagi ya karanga ni nzuri sana katika kuuweka katika usawa mzuri mzunguko wa damu mwilini.
Kadhalika kiasi kingi cha protini kilichomo kwenye siagi ya karanga kinasadikika kuwa na uwezo wa kuongeza nguvu au uwezo wa mwili na kutengeneza mishipa mingi na imara zaidi.
Ujuzi wake uko hapa
___Kaanga kidogo karanga bila kuziunguza na usizitie chumvi, kisha zimenye au ondoa maganda yake. Saga kwenye blenda huku ukiongeza kidogo kidogo mafuta yoyote ya mboga mboga kama ya alizeti au mafuta ya
karanga, ongeza sukari au asali kidogo na chumvi
kidogo.
Mimi napenda zaidi kuitumia kwenye mkate lakini pia unaweza kuongeza siagi ya karanga kwenye karibu kila mboga ya majani, samaki na kadhalika. Ukiacha ladha yake nzuri na tamu, siagi ya karanga ni chakula chenye afya na nguvu nyingi na isiyo na takataka zozote
zisizohitajika na mwili.
•Pia kuupa mwili mazoezi, huimarisha misuri kwa haraka mfano as i told you before zoezi la kegel, plank exercises na squarts huifanya misuri ya uume kuwa imara na kuondoa ulegelege kwenye makala za mwanzo nilikutumia video hiyo, kama hujaipata basi bonyeza link https://
youtu.be/_8LipVPmAdQ
kuitazama ina 1MB tu sawa na bure.
Epuka ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, achana na junk foods, pombe pia achana nazo au kunywa kwa ustaarabu yaani jitahidi sana kujipa utaratibu mzuri wa kula, mbali na kuimarisha afya yako pia utaepuka kupunguza gharama za maisha na kununua dawa feki bila matokeo yoyote.
Ukishindwa kupata mixing ya virutubisho hivyo hata usiangahike, tuite popote maana tupo kwa ajili yako.
Tunayo hii PACKAGE ambayo ni Mixed Herbs na Mafuta yake.
•Mixed Herbs ni Juisi kwa ajili ya kuongeza homoni za kiume, na kuondoa tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa hususani baada ya mshindo wa kwanza, huongeza stamina na kuondoa tatizo la kuwahi kufika kilele/mshindo na,
•MAFUTA ni kwa ajili ya kuondoa udhaifu wa misuri ya uume, hunyoosha maumbile na kukuza uume kama una muonekano mdogo wa kurudi ndani.
Ni tiba ya moja kwa moja haihitaji kuirudia mara kwa mara kama ukitumia dozi
Dozi ni lita moja ya juisi (mixed herbs) na mafuta ni ujazo wa 125mil (complete dose) kwa Tsh 60,000 mkazi wa Dar es salaam
Nusu yake ni kwa tsh 35,000 mkazi wa Dar.
Matumizi yake utapewa baada ya kupokea na kwa wale wasio na muda tunawafikia popote walipo bure na utalipia baada ya kupokea (Dar)
Tutembelee duka la tiba tiba asili, ujifunze mengi, tunapatikana Ubungo mkabala na stendi ya dalalada ya simu2000
Simu / WhatsApp 0769321005

No comments