Goodluck Gozbert-Nibadilishe Lyrics

Share:
Goodluck Gozbert-Nibadilishe Lyrics



Goodluck Gozbert-Nibadilishe Lyrics 


Kwanza nimenyoa deni Napenda sana mitindo ya nywele Kuruka usiseme  Viwanja vipya ninakaribishwa Kwenye kura saa za Insta nakesha Nikitafuta tena mabaya Nikisikia mabata nataka Nalitafuta tena nalipa Wala silipi maden, Nikikopa na beti Wala sionagi soni Fungu la kumi kwangu hio ni stori Nasubiri jumapili(Sunday) Hata najua sina imani, japo naitikia Amina Nasubiria ukitendaga kwanza, ndio nikubali Aah kama Yesu najua na idadi ya vitabu najua  Na yalipo makanisa najua, ila kuhudhuria nashindwa Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa Eeh niko na ubaya, niko na ubaya Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe Oooh niko na ubaya, niko na ubaya Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe Kuna venye hii movie inanichoma  Hasa ile parapanda Ikipigwa wakizika Na appear, sirudii kosa Maneno yananichoma Binadamu ni maua Ikipita wiki moja masikini Nasahau kabisa  Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa Oooh kwa ibada nasinzia, sijui mdudu kaingia Ila nikiona bia, nasikia kuchangamkaa Eeh niko na ubaya, niko na ubaya Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe Oooh niko na ubaya, niko na ubaya Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe Nakupa maisha na moyo, utakase Ninapoanguka nishike nisimame  Nakupa maisha na moyo, utakase Ninapoanguka nishike nisimame Eeh niko na ubaya, niko na ubaya Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe Oooh niko na ubaya, niko na ubaya Eeh niko na ubaya, Bwana nibadilishe





No comments