Enock Bella - Kolo Lyrics

Share:
Enock Bella - Kolo Lyrics


Enock Bella - Kolo Lyrics

DOWNLOAD AUDIO



Sitaki baridi Mdogo mdogo, usinyate nyate  Wakaniimbia, mdogo mdogo Usije enda mbali nami  Kwangu karibia, mdogo mdogo Wacha ninywe soda tu  Wewe kunywa bia, mdogo mdogo Nakuelewa wewe tu  Kama una joto nataka nikupepee Ingia kati na mwenzako mruke Aii, usiyarushe mateke Jimwage mwage mpaka kuna kuua kupe Hee, rusha rusha ka masai Walubenga ata tai We chemka kama chai Usidondoke bure Usijifosi kama unalia Zungusha kiuno kama nalia Hawadai ukinikatalia Jivute jivute kunikumbatia Furahi, jidai Shake your body kwani kunani Wewe ukutani, mezani Chutama chini na ushike gun We furahi, jidai Shake your body kwani kunani Wewe ukutani, mezani Chutama chini na ushike gun Mdogo mdogo, usinyate nyate  Wakaniimbia, mdogo mdogo Usije enda mbali nami  Kwangu karibia, mdogo mdogo Wacha ninywe soda tu  Wewe kunywa bia, mdogo mdogo Nakuelewa wewe tu  Kameshaniganda roho, ayee Mzuka umepanda kichwani, ayee Zungusha kiuno hatari, ayee Sinema za kuitwa chumbani ayee Bado mimi nataka Sugua gaga kiuno mbambaka, ayee Dj zima taa Kuna mafisi wamejawa tamaa, ayee Bado mimi nataka Sugua gaga kiuno mbambaka Dj zima taa Kuna mafisi wamejawa tamaa, yee Mdogo mdogo, usinyate nyate  Wakaniimbia, mdogo mdogo Usije enda mbali nami  Kwangu karibia, mdogo mdogo Wacha ninywe soda tu  Wewe kunywa bia, mdogo mdogo Nakuelewa wewe tu


No comments