Darassa Ft Maua Sama-Shika Lyrics (Mashairi)
Mguu pande mguu sawa Tembea, tembea Nataka uwanja nitambe Sogea, sogea Wako wapi wapambe? Ooh kapotea, potea Ngoma itambe hiyo Kidedea, kidedea Masharti ya mganga wameyakosea Wamekuja kuzima kumbe wanachochea Wanaopepea moto kolea kolea Mizani mi ni wa kuchezea chezea Zima redio mbao Haiya, zima na mtandao Haiya, sema nao piga bao Haiya, sisi sio saa saizi yao Vunja vibenge kimbiza mwenge kama desturi Uso sawa wa kucheza umevalia msuli Tatua gear razi utatuharibia shughuli Miguu vizuri ulizia wananiitaga nguli Kama unaimba, imba nikuitikie Ngoma inanoga, kucheza mtu akupigie Ucheke ulie, ishike iachie Zangu niambie, kaa chini utulie Tumeishika, kamata sukuma Tumeishika, kamata sukuma Tumeishika, kamata sukuma Tumeishika, kamata sukuma Tumeishika(Shika) Kamata(Kamata) Shika(Shika) Sukuma(Twende) Tumeishika(Shika) Kamata(Kamata) Shika(Shika) Sukuma(Twende) Mbuzi kafungwa kwenye chuma cha reli Boss kaamka chumba cha uskeli Wanashaba baiskeli vipi sheli Kiwanja hakiwezi ogopa matapeli Ah survivor kwenye jungle commando Ukimjua panya ukatafute pango Endelea endelea kushikia bango Tukuvue nguo, tunavua majingambo Jembe la kulima, tifua tifua Navua papa itakua kamba, dagaa, kibua Mshike mshike segele langu unalijua Ngoma inoge kelele zangu mpaka napasua Panga pangua, ota otea Ukitaka chukua, ngoja ngojea Tokea, sogea, pokea, ongea Ngoja usimuliwe na macho ya kujionea Kama unaimba, imba nikuitikie Ngoma inanoga, kucheza mtu akupigie Ucheke ulie, ishike iachie Zangu niambie, kaa chini utulie Tumeishika, kamata sukuma Tumeishika, kamata sukuma Tumeishika, kamata sukuma Tumeishika, kamata sukuma Tumeishika(Shika) Kamata(Kamata) Shika(Shika) Sukuma(Twende) Shika(Shika) Kamata(Kamata) Shika(Shika) Sukuma(Twende) Mbuzi kafungwa kwenye chuma cha reli Boss kaamka chumba cha uskeli Wanashaba baiskeli vipi sheli Kiwanja hakiwezi ogopa matapeli
No comments