Amber Lulu-Haters Lyrics (Mashairi)
Nikikupa salamu hutaki pokea Itikadi za kishamba unaniletea Tukiwa wote klabu nakulipia Nikitoka nyuma unanizomea Kwani we ni hater? Kwani we ni hater? Kwani we ni hater? Kwani we ni hater?
Pombe nilewe Hujanunua unune wee Mwingine atetenywe Hujatekenya ucheke wee Chenga mbili tatu Unajikuta Ronaldo Unazuga kimombo Wakati kibantu tu bado Nikikunyima wiki unachamba(Chamba) Pombe ya madanga ushamba(Ushamba) Nitakuponza kiranga(Ranga) Shuga kaza kitanda(Tanda) Nikikupa salamu hutaki pokea Itikadi za kishamba unaniletea Tukiwa wote klabu nakulipia Nikitoka nyuma unanizomea Kwani we ni hater? Kwani we ni hater? Kwani we ni hater? Kwani we ni hater? Izo nge nge nge Usilete kwangu hizo mbwe mbwe mbwe Wataku che nde nde nde Kwa hizo shepu zako za kisesembe Oh la la, kumbe hata kwa Sango unaniendea Kwangu sala, Ata kwa Mungu ninakuombea Nikivaa nikipendeza Roho yako inauma eeh Nikipita natingisha Roho yako inakunja wee
Nikikupa salamu hutaki pokea Itikadi za kishamba unaniletea Tukiwa wote klabu nakulipia Nikitoka nyuma unanizomea Kwani we ni hater? Kwani we ni hater? Kwani we ni hater? Kwani we ni hater?

No comments