Abdukiba - Nimuimbie nani Lyrics
DOWNLOAD AUDIO
Mengi kanifanyia Ndio maana mpaka leo namtunza Wengine ngumu kujua nilichozama aah Ogopa zaidi ya akilia ayaya Akiamini namtenga Ndugu zake walishagombana Kisa pendo kulinda Navumilia shida Ndo maana sometimes nalia mwenyewe Wanajiuliza vipi Tokea eti nitengane na yeye Ni mvumilivu, Sijawai ona kama yeye Nampenda Kumuacha siwezi Ah nimuimbie nani? Kama sio yeye, yeye Nicheke na nani? Kama sio naye Nimuimbie nani? Kama sio yeye, yeye Nilie na nani? Kama sio naye Ndani ya moyo nina kitabu Ninahifadhi mapenzi yote Naamini utanipenda Siku zote sitokufanya ujute Siri zangu Mwifadhi siri ni wewe Hata hamu yangu Wa kunistiri ni wewe Wao kupe walimwengu Wana maneno ya kara, unaweza ukalia Wana maneno chungu ya kukatisha tamaa Penzi likapotea Kwanza mimi nakwamini Tena unajua kiasi gani Wewe umeridhika kuwa nami Unaniamini Geuza macho yako usiangalie chini Muda wa kusema na mimi Aiyoyoyoyo, yoyoyoyoyoyo Ah nimuimbie nani? Kama sio yeye, yeye Nicheke na nani? Kama sio naye Nimuimbie nani? Kama sio yeye, yeye Nilie na nani? Kama sio naye Mmmh basi njoo Nakupenda mwenzako Basi njoo Unipe raha zako Basi njoo ooh oh Nakupenda mwenzako Basi njoo Mmmh mmmh.. Ah nimuimbie nani? Nicheke na nani? Oooh nimuimbie nani? Oooh nilie na nani? Ayee..

No comments