Rayvanny ft Diamond Platnumz-TIMUA VUMBI Lyrics

Share:
Rayvanny ft Diamond Platnumz-TIMUA VUMBI Lyrics

Rayvanny ft Diamond Platnumz-TIMUA VUMBI Lyrics

Kimbunga hicho  Kimbunga hicho Kimbunga hicho Yaani tunazoa zoa 
Its S2kizzy beiby  

Mwaga jasho miguu iwake moto Timua vumbi, timua!
 Kisigino kibebwe na ugoko Timua vumbi, timua! 
Ruka ruka tusiamshe popo Timua vumbi, timua! 
Vua shati ukisikia joto Timua vumbi, timua! 

Saa tunakisanua, vumbi! Tunawachafua, vumbi! 
Tunawapa mafua, vumbi! Vumbi, timua vumbi! 
Tunakata funua, vumbi! Wakazingua, vumbi! 
Tunawapa mafua, vumbi! Vumbi, timua vumbi! 

Wanatukimbiza Wasafi eeh 
Wapo makundi makundi 
Lakini hawatupati eeh 
Tunawaachia vumbi 

Timua vumbi, timua! 
Timua vumbi, timua! 
Timua vumbi, timua! 
Timua vumbi, timua! 

Timua vumbi, timua! 
Timua vumbi, timua! 
Timua vumbi, timua! 
Timua vumbi, timua!


 Oooh kama mashine ya koboa mpunga
 Timua vumbi, timua! 
Aah Tsunami changanya na kimbunga 
Timua vumbi, timua! 

Kama gwaride ka la jeshi, timua 
Kwa mchanga simiti, timua 
Chana jamvi kapeti, timua 
Timua vumbi, timua 

Timua mchanga  Kama unalicheza vanga 
Mzuka ukipanda  
Vua shati kama mwanga 
Timua mchanga  Kama unalicheza vanga 
Mzuka ukipanda  Vua shati kama mwanga 

Asa kachili saga, saga saga 
Kamatia zaga, zaga zaga 
Nisugulie gaga, gaga gaga 
Kinaga ubaga, twende Timua! 

Timua vumbi, timua! 
Timua vumbi, timua! 
Timua vumbi, timua! 
Timua vumbi, timua! 

Timua vumbi, timua! 
Timua vumbi, timua! 
Timua vumbi, timua! 
Timua vumbi, timua! 

Mwendo kama farasi  
Ooh ooh tunawatimua timua! 
Kasi kama risasi 
Ooh ooh tunawatimua timua! 

Tuko nduki kibati  
Ooh ooh tunawatimua timua! 
Hawatukamati  
Ooh ooh tunawatimua timua! 

Shika! Hasa kitimue, timu! timu! 
Yaani chimba, timu timu! 
Fukua fukua, timu! timu! 
Chimba chimba, timu! timu! 

Eeeh vidole chepeo, timu! timu! 
Kiuno mpini, timu! timu! 
Fanya kama goleo, timu! timu! 
Ifukue kwa chini, timu! timu!

No comments