PETER BLESSING-NASUBIRI BADO Lyrics

Share:
PETER BLESSING-NASUBIRI BADO Lyrics

PETER BLESSING-NASUBIRI BADO Lyrics

Oooh ooh oooh, yeah yeah yeah Peter Blessing yeah  Eeeya mmh

Kutwa nzima imepita Nikiwa sina hata cha mfukoni Naumia hakika, kwani  hata marafiki  Hao siwaoni 

Kwenye wingu la giza Sijapata hata faraja tumboni Koroboni ndio stima  Namweleza yule aonae toka moyoni

Maisha haya ya kizungu nzungu Ni wapi tena? Sina pa kutorokea(mmh mmh) Kwenye giza sioni nuru Ni nini chanzo? Nabaki nikijiongelea

Kama namwona mamangu Uchochole ndo wimbo na ndo kikwazo Mi peke yangu Kwa hakika naangaziwa saana 
Machozi ndo yangu Hata kunivika cha chini Mola wangu pato Eeeh Mola wangu Eeh eeh eeeh, Mwenyezi mimi
Mwenyezi! Nasubiri bado Mwenyezi! Nasubiri bado Mwenyezi! Nasubiri bado Nangoja kwako  
Mwenyezi! Nasubiri bado Mwenyezi! Nasubiri bado Mwenyezi! Nasubiri bado Nangoja kwako  

Mbona mawazo yangu ndo hivyo Katu sikosi kufikiria Masikini moyo wangu  Mmmh...mmmh 

Tena mzigo wangu mzito  Sina hata wa kunisaidia Naja kwako Mola wangu 

Aah maumivu yangu yalokolea Toka zama sichoki kusota Dili zangu za kutegea Mara napata, saa ingine nakosa 

Nyumbani nategemewa Wamechoka wa kunikopesha Wazidi niombea Wasikate tamaaa..ooh ooh ooh 

Kama kufunga sio mwanzo Ni mtindo Mpaka nashindwa nini ndo chanzo Ndio maana nimeandika huu wimbo 

Mmmh matatizo Yasokosa likizo  Kilio ndio wangu mtindo Ni maji yamefika kwa shingo 

Kama namwona mamangu Uchochole ndo wimbo na ndo kikwazo Mi peke yangu Kwa hakika naangaziwa saana 

Machozi ndo yangu Hata kunivika cha chini Mola wangu pato Eeeh Mola wangu Eeh eeh eeeh, Mwenyezi mimi 

Mwenyezi! Nasubiri bado Mwenyezi! Nasubiri bado Mwenyezi! Nasubiri bado Nangoja kwako  
Mwenyezi! Nasubiri bado Mwenyezi! Nasubiri bado Mwenyezi! Nasubiri bado Nangoja kwako  
Kupambana kidume(Sichoki) Sala zangu nitume(Sichoki) Siwasikizi wengine(Sichoki) Iko siku nitapata  

No comments