| Huu mwaka utachina si ulileta unyang'au |
| Hukaukwi kunitishia unaondoka unaondoka |
| Kama daladala za kariakoo inatoka inatoka |
| Hadharani unanisusia kuropoka ropoka |
| Kama domo lako shimo la choo yanakutoka |
| Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata pakuegemea |
| Mh napendwa na sio kwa ninavojidekea |
| Hulka yako ya pupa mwenzako |
| ananinyenyekea |
| Ooh kutendwa nakusikia kwenye bomba |
| Na tena na enjoy mpa ka raha mmh mpaka |
| Natakatishwa mp aka raha mmh mpaka |
| Ananipaga kutwa mara tatu mpa ka raha mmh mpaka |
| Naogeshwa nakandwa mpa ka raha mmh mpaka |
| Na tena na enjoy |
| Napenda akinipa akinipa migandisho |
| Kama napigwa shoti akisakata migandisho |
| Na kama penzi lake bahari kwa muda |
| naelea |
| Maana nishazamaga nishakufa mzoga |
| Na kama penzi melody kali mi kwake ndio burudani |
| Wala sidhani ka'ataridhika kunikosa |
| Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata kwa kuegemea |
| Mh napendwa na sio kwa ninavojidekea |
| Hulka yako ya pupa mwenzako ananinyenyekea |
| Ooh kutendwa nakusikia kwenye bomba |
| Na tena na enjoy mpa ka raha mmh mpaka |
| Natakatishwa mpa ka raha mmh mpaka |
| Ananipaga kutwa mara tatu mpa ka raha mmh mpaka |
| Naogeshwa nakandwa mpa ka raha mmh mpaka |
| Na tena na enjoy |
No comments