Dogo Janja – Yente lyrics
Smile for me beibee (yeah)
Tabasamu beibee (yeah)
Smile for me beibee (yeah)
Tabasamu beibee (yeah)
Hakuna wasi mambo yente (yente)
Mamama mambo yente (yente)
Hakuna wasi mambo yente (yente)
Mamama mambo yente (yente)
Yentee...
Sijaelewa vipi kwa nini unanuna mama
Nisikiize mimi hao wanakudanganya
Kachumbari ainogi bila vitunguu nyanya
Udambwi dambwi mwingi kiunoni biringanya (yeah)
Halima Salima Amina (wote nimewakataa)
Mwajuma Karolina na Fatuma (wote nimewakataa)
Smile for me beibee (yeah)
Tabasamu beibee (yeah)
Smile for me beibee (yeah)
Tabasamu beibee (yeah)
Hakuna wasi mambo yente (yente)
Mamama mambo yente (yente)
Hakuna wasi mambo yente (yente)
Mamama mambo yente (yente)
Yentee...
Ukitabasamu nami nitatabasamu
Unapaswa kufahamu wewe ni zaidi ya utam
Kuwekaga jam ndo zao binadamu
Nakula vitamu wanasema vya haramu (yeah)
Halima Salima Amina (wote nimewakataa)
Mwajuma Karolina na Fatuma (wote nimewakataa)
Smile for me beibee (yeah)
Tabasamu beibee (yeah)
Smile for me beibee (yeah)
Tabasamu beibee (yeah)
Hakuna wasi mambo yente (yente)
Mamama mambo yente (yente)
Hakuna wasi mambo yente (yente)
Mamama mambo yente (yente)

No comments