RAVEG MUSIC
  • AUDIO
  • CCM
  • VIDEO
  • GOSPEL
  • CONTACT US
Home Celebrity REST IN PEACE MASOGANGE {R.I.P}

REST IN PEACE MASOGANGE {R.I.P}

Eddo 7:51:00 PM 0 komentar
Share:
  • Facebook
  • Twitter
  • Google+
  • Pinterest
  • Whatsapp
REST IN PEACE MASOGANGE {R.I.P}

Mwanamitindo na video queen marufu bongo Agnes Gerald maarufu kama Masogange, amefariki dunia leo kwa tatizo la presha.

Akithibitisha taarifa ya kifo hicho muigizaji mkongwe Steve Nyerere amesema kwamba  Agnes amefariki muda mfupi huu akiwa hospitali ya mama Ngoma Mwenge, na hivi sasa wanapeleka mwili hospitali ya Muhimbili kwa uchunguzi zaidi.
Agnes Masogange alikuwa maarufu baada ya kuonekana kwenye video kadhaa za bongo ikiwemo Masogange ya Belle 9
Label:
Celebrity
Share:
  • Facebook
  • Twitter
  • Google+
  • Pinterest
  • Whatsapp

No comments

Subscribe to: Post Comments ( Atom )

SEARCH

WADAU WA BLOG HII.

TOP 10

  • AUDIO | Bony Mwaitege – MWALIMU Mp3 Download
  • AUDIO | Mesen Selekta – Mi Amor EP Mp3 (Audio Download)
  • (Instrumental) Whozu - Turn Me On BEAT (Mp3 Download)
  • AUDIO | Rich Mavoko - Navumilia | Download Mp3 [New Song]
  • DOWNLOAD AUDIO | RABIA - SIKOMI | MP3
  • VIDEO | MTANGA MC – NDO MIMI Mp4 (Video Download)
  • AUDIO | Weusi - Air Weus Full Album EP Mp3 (Audio Download)
  • MP3 AUDIO | Diamond Platnumz - Magodoro Tumeloweka maji (io) waiona iyo (Mp3 Download)
  • DOWNLOAD AUDIO: Adam Mchomvu – ADAM Mp3
  • AUDIO | Harmonize – Dunia shetani Mungu yupo Mp3 (Audio Download)
Crafted with by TemplatesYard | Distributed by Gooyaabi Templates