Mwanamuziki Vanessa ameachia video mpya ya wimbo unoitwa ‘Kisela’. Katika wimbo huo Vanessa amemshirikisha msanii kutoka Nigeria Peter ambaye anaunda kundi la P-Square.
Video hiyo imetengeneza na kampuni ya Capitaal Dreams Pictures ya nchini Nigeria. Unaweza kuitazama hapa chini
No comments