Kiwanda cha SUNFLAG kilichopo Njiro _ARUSHA katika kata ya Themi mashariki kimewaka moto majira ya saa tatu usiku,Chanzo bado hakijafahamika lakini moto ulianzia katika Godown la kuzalisha Net.
kwahabari zaidi endelea kutembelea katika hii blog kwa habari na picha zaidi za hilo tukio kwani maripota wetu wako karibu na eneo la tukio tayari kwa kutuletea habari pindi zitakavo kuwa zinajiri.

No comments