AUDIO | Mbosso – DJ (Mp3 Audio Download)
“Hapo kwa moyo kwa juu panakwangua,
kwenye ubongo kuna kakitu kanasumbua,
Haki ya Mungu lile likenge lingeniua,
Si angesema kama anauza ningenunua”
“Oyaa, mi staki dem, nipoze moyo DJ,
Ongeza sauti DJ, nitakutunza DJ”

No comments